Balozi wa kampeni ya Kijiditali ya Tap Tap Utoboe ya Exim Bank Tanzania, Idris Sultan (kati) akitangaza washindi 10 wa droo ya pili ya mwezi yenye lengo la kuwahamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala yao ya malipo kwa kutumia simu za mkononi na mtandao ili kujishindia zawadi mbalimbali ziwemo fedha taslimu, pikipiki, bajaji na gari mpya. Kushoto ni Thuweiba Bakary, Afisa wa benki hiyo kutoka Idara ya Huduma Mbadala za kibenki na Kidijitali, na Lucy Katamba, Mkaguzi na Mdhibiti wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania wakiwa katika droo hiyo iliyofanyika tarehe 16 Agosti, 2024 katika Tawi la Exim Bank Masaki jijini Dar es Salaam.
EXIM BANK YATANGAZA TENA WASHINDI 10 WA KAMPENI YA KIDIGITAL YA I‘TAP TAP UTOBOE’
By fullshangwe
August 19, 2024 | 8:37 am

Related Stories
View all
Biashara
1 day ago
LONDO ANADI FURSA ZA KIBIASHARA ZA TANZANIA JUKWAA LA MAENDELEO YA BIASHARA AFRIKA
Na Mwandishi Wetu, Addis Ababa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Londo (Mb), amezitaja fursa za kibiashara zilizopo nchini Tanzania katika Jukwaa…
Biashara
3 days ago
BENKI YA EXIM YAWASOGEZEA MADEREVA HUDUMA ZA KIFEDHA NA BIMA KUPITIA TWENDE BBM FESTIVAL 2026
*Yawasogezea madereva wa bodaboda, bajaji na magari huduma za malipo ya kidijitali, bima na huduma za kibenki zinazolenga kulinda vyanzo vyao vya kipato. Dar es Salaam, 14 Novemba 2026:…