Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto) akipeana mkono na Waziri wa Fedha wa Tanzania Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia (katikati) , baada ya kikao cha pamoja cha kujadili masuala mbalimbali ya kifedha yanayohusu Muungano, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) pamoja na wajumbe kutoka Tanzania Bara na Visiwani.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia (katikati) , Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Tanzania Bara na Visiwani, baada ya kikao cha pamoja cha kujadili masuala mbalimbali ya kifedha yanayohusu Muungano, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Scola Malinga, WFM, Dar es Salaam)