Mratibu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II), Mary Laswai akitoa mada kuhusu utekelezaji wa Mradi huo kwa mwaka 2019 katika Kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mradi kwa Mwaka 2019. Pembeni yake ni Mshauri Mkuu wa Mradi, Ndugu Takawira Musavengana. Kikao hicho kimefanyika leo Mjini Bagamoyo.Kikao hicho pia kitapitia Rasimu ya Mpango Kazi Mradi wa mwaka 2020.
Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II), Ndugu Takawira Musavengana akisisitiza jambo katika Kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mradi kwa Mwaka 2019. Pembeni yake ni Mratibu wa Mradi huo, Mary Laswai. Kikao hicho kimefanyika leo Mjini Bagamoyo ambapo pia wajumbe watapitia Rasimu ya Mpango Kazi wa Mradi wa mwaka 2020.
Wajumbe wa Kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa Mpango kazi wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) wakiwa katika kikao kilichofanyika leo hii Mjini Bagamoyo. Kikao hicho pia Kitapitia Rasimu ya Mpango Kazi wa Mradi wa mwaka 2020.
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa Mpango kazi wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) wakiwa katika kikao kilichofanyika leo hii Mjini Bagamoyo. Kikao hicho pia Kitapitia Rasimu ya Mpango Kazi wa Mradi wa mwaka 2020.