Mwenyekiti wa kikao cha maafisa waandamizi, (katikati) Bw. Emmanuel Kamugisha akiongea na wajumbe (hawapo) pichani wakati wa kikao. Kulia ni Mhandisi Stephen Mlote, Kaimu Katibu Mkuu Fedha na Utawala, kushoto ni Raphael Kanothi, Naibu Mkurugenzi- Wizara ya Afrika Mashariki na mahusiano ya jamii, Kenya.
Baadhi ya wajumbe kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Baraza la 39 la Mawaziri jijini Arusha leo.