Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Najma Giga akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na kupokea Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akifafanua jambo wakati wa kuwasilisha Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Emmanuel Mwakasala akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na kupokea Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Amina Mollel akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na kupokea Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).