Mjiolojia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Bw. Ebeneza Mollel akitoa maelezo kwa Bw. Malila Munisi kulia mkazi wa Mikocheni jijini Dar es salaam na Gabriel Setumba wa Dar es Salaam pia wakati walipotembelea banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na TANTRADE katika viwanja vya sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es slaam.
(PICHA NA JOHN BUKUKU)
Bw. Malila Munisi wa Mikocheni jijini Dar es salaam akiuliza swali kwa Bw. Ebeneza Mollel Mjiolojia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wakati wananchi mbalimbali walipotembelea katika katika banda hilo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na TANTRADE kwenye viwanja vya sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam wa pili kushto ni Gabriel Setumba mkazi wa Dar es Salaam
Desmond Risso Mjiolojia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) akitoa maelezo kwa Bw. Joseph Mloka Mkazi wa mabagala jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye Maonesho ya ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na TANTRADE kwenye viwanja vya sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Lukelo Matimbwi Mjiolojia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliofika katika banda hilo kuona shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo.
Desmond Risso Mjiolojia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) akitoa maelezo kwa Bi. Zarina Mohammed Sidik mkazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye Maonesho ya ya 47 ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na TANTRADE katika viwanja vya sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Wananchi mbalimbali waliotemblea katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wakisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda hilo na kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli zainazoanywa na mamlaka hiyo.
Bi. Zarina Mohammed Sidik mkazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea katika banda hilo. kulia ni Mjiolojia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Bw. Ebeneza Mollel.
Picha ya pamoja