Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya  kilomita 5   ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya  kilomita 5   ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar

Wanamazoezi wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar leomgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  .

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine na wanamichezo wakinyoosha viungo baada ya matembezi ya  kilomita 5   ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar 

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa hutuba yake baada  ya  matembezi ya  kilomita 5   ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar   ambapo vikundi vya mazoezi vimeshiriki matembezi hayo yaliyofanyika