Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sikonge Joseph Kakunda kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru Kasikazini, Hassan Zidadu Kungu, bungeni jijini Dodoma, Mei 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu