Mchungaji wa Kanisa la Moravian Parishi ya Sabasaba, Mkoa wa Singida, Yona Ezekiel, akizungumza na waumini wa kanisa hilo wakati wa ibada ya Sikukuu ya Vijana iliyofanyika Jumapili. Kutoka kulia ni Bwigane Obed, ambaye alihubiri neno la Mungu na katikati ni Abel Mwakajangwa aliyeongoza ibada hiyo. ………………………………………………………. |
.
Na Dotto Mwaibale, Singida KANISA la Moravian Jimbo la Magharibi Tabora linatarajia kuanzisha mradi wa Hayo yamesemwa na Mchungaji wa Kanisa hilo Parishi ya Sabasaba Mkoa wa “Kanisa letu linategemea kuwa na miradi ya ufugaji wa mbuzi wa kisasa Alisema Jimbo la Kanisa la MoravianMagharibi Tabora Septemba mwaka huu Aidha, Mchungaji Ezekiel aliwataka vijana wa kanisa hilo kujiandaa kufanya Mchungaji Ezekiel akimnukuu Hayati Baba Aliwataka vijana kuchukua tahadhari na mafundisho ya dini ya uzushi na Alisema wengi wa vijana hao walikuwa ni wasomi na wengine walikuwa Mchungaji Ezekiel alisema mafundisho ya namna hiyo yanatakiwa yapingwe na kukemewa Aidha, Mchungaji Ezekiel aliwataka vijana wajitege na vitendo vya Katibu wa Umoja wa Vijana wa kanisa hilo, Israel Mwaisela akitoa taarifa Alisema maadhimisho hayo ni ya tatu tangu kuanzishwa kwa parishi hiyo nakuwa Alitaja baadhi ya changamoto kuwa na idadi ndogo ya vijana na hiyo Muhubiri katika ibada hiyo, Bwigane Obed Mwalwiba akinukuu neno la Mungu kutoka Alisema na hasitokee mtu akamdharau kijana kwa namna moja ama nyingine na Mwenyekiti wa Kamati ya ujenzi wa Kanisa hilo Parishi ya Sabasaba Edward Mdaki akizungumza wakati akitoa taarifa kuhusu hatua za mwanzo za ujenzi huo baada ya kulipia gharama za kiwanja alise jana waumini wa kanisa hilo walianza kuchimba shimo la maji taka ambapo aliomba kazi hiyo ya kujitolea iendelee kwa kila muumini kushiriki. “Kila muumini kwa nafasi yake tunamuomba ajitoe kwa kazi hii ya ujenzi wa nyumba yetu ya Mungu ya kuabudia tumeanza uchimbaji wa shimo la maji taka ‘choo’ na baadae tutaanza ujenzi wa kanisa la muda wakati tukiendelea na maandalizi ya ujenzi wa kanisa la kudumu,” alisema Mdaki. Mdaki alitumia nafasi hiyo kuwaomba wadau mbalimbali kusaidia ujenzi huo kwa kutoa chochote walichonacho iwe nguvu kazi na mahitaji mengine kama ya chakula na maji kwa ajili ya kusaidia watu wanaoendelea na kazi ya uchimbaji wa shimo la maji taka katika eneo hilo. Aliomba kwa mtu yeyote, Taasisi, Wafanyabiashara na madhehebu mbalimbali watakao kuwa tayari kuwaunga mkono katika jambo hilo kwa kutoa vifaa vya ujenzi, mchanga, matofali au fedha wanaweza kutoa kupitia Akaunti Namba 50810046663 Benki ya NMB Kanisa la Moravian Sabasaba Singida mjini au wawasiliane na Mchungaji Yona Ezekiel kwa namba 0758148508 kwani kutoa ni moyo wa mtu na sio utajiri na Mungu atawabariki na kuwaongezea kingi katika kazi zao. |
Mtumishi wa Mungu Bwigane Obed akihubiri katika ibada hiyo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa kanisa hilo, Agnes Mwaihojo akizungumza nawakina mama (hawapo pichani) wakati wa ibada hiyo.
Kwaya ya Vijana wa kanisa hilo ikitoa burudani ya nyimbo za kumsifu Mungu.