Muonekano wa juu wa sehemu ya barabara ya Dodoma – Babati yenye urefu wa Kilometa 251, inayopokea fedha za matengenezo kutoka Mfuko wa Barabara ili kuhakikisha inakuwa katika hali nzuri wakati wote.
Wataalam kutoka Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) wametembelea Kiwanda kikubwa Cha Insignia Ltd kilichopo Kata ya Kibada katika Manispaa ya…