Dkt. Jelly Chang’a akizungumza katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam, Dkt Chang’a amemwakilisha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania ( TVLA ) Mwalimu Shedrack Mandondo Muwezeshaji wa ujasiriamali akifundisha katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam
Mwalimu Evance Chimpidi, Muwezeshaji wa Elimu ya vikundi vya vikoba akitoa elimu ya Vikoka katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam
Denis Kalabi Nyakilinga, Mwenyekiti wa TVLA akitoa neno la utangulizi katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam Elisha Paul Mwasingwe akifuatilia kwa makini mada mbalimbali zikizokuwa zikiendelea kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam , Elisha alimwakilisha Meneja wa utumishi na rasilimali watu ( HRM ) Baadhi ya Washikiri mbalimbali wakiwemo wa njia ya mtandao wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiendelea na kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Washikiri mbalimbali wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiendelea na kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA Bii. Evelyn James Mfuru akisoma lisala katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko dirisha la Kilimo NMB Bi.Veronica Mtui akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa TVLA wakipata picha ya pamoja mara baada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyakazi wa TVLA uliofanyika Machi 11,2023 katika Ofisi za TVLA Jijini Dar es Salaam.