Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania Wanaoishi nchini Msumbiji (Diaspora) katika Jiji la Maputo tarehe 22 Septemba, 2022.