RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Mume wa Marehemu Hajjat Akida Rajab, aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia baada ya kukamilisha Ibada ya Hijja, Sheikh. Abdulrahaman Saleh alipofika nyumbani kwa marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Hajat Akida Rajab, aliyefariki katika Mji wa Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kukamilisha Ibada ya Hijja, alipofika nyumbani kwa Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiidikia dua ya kumuombea Marehemu Hajjat Akida Rajab aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kumaliza Ibada ya Hijja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib.(kushoto kwa Rais) baada ya kutowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiidikia dua ya kumuombea Marehemu Hajjat Akida Rajab aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kumaliza kwa Ibada ya Hijja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib.(kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kutowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-8-2022.(Picha na Ikulu)