MchanganyikoRAIS WA ZANZIBAR.DK. SHEIN AHUTUBIA HAFLA YA KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA SUZA TOKA KUAZISHWA KWAKE Last updated: 2019/09/14 at 12:56 PM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Cheti cha Utambuzi na Uthibati, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma kushoto kwa Rais, anayefuata ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa Mhe.Said Bakari Jecha na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kulia kwa Rais Makamu Mkuu wa SUZA Dk. Zakia Mohammed Abubakar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Skuli na Taasisi Mpya za SUZA, wakati wa hafla ya sherehe za Mafanikio ya SUZA toka kuazishwa kwake Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA. Wilaya yac Kati Unguja. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Profesa Saleh Idrisa Muhammed, aliyekuwa Makamu Mkuu wa SUZA wa kwanza, kilipoazishwa kwake Zanzibar, wakati wa hafla ya kusherehekea Mafanikio ya SUZA toka kuazishwa kwake Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mhe. Haroun Ali Suleiman , aliyekuwa Waziri wa Kwanza wa Elimu wakati kikiazishwa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, (SUZA) (Picha na Ikulu Alex Sonna September 14, 2019 September 14, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article MPANGO ATAKA BENKI ZIJITATHMINI VIWANGO VYA RIBA Next Article WAZIRI UMMY: HAKUNA MGONJWA ALIYETHIBITISHWA KUWA NA EBOLA NCHINI