Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa shina namba 5 Tawi la Nkoma, Itilima mkoani Simiyu.
Sehemu ya wakazi wa Sina namba 5 Tawi la Nkoma wakifuatilia mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo.