Wanafunzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) pamoja na Wanafunzi kutoka Chuo Cha AP Belgium wakiwa katika Mafunzo ya kutengeneza Kifaa cha Kupima kiwango cha Chumvi Chumvi (SALINITY SENSOR) yaliyofanyika katika (Lab ya Microcontroller) Chuoni hapo Mbweni Mjini Zanzibar.
PICHA NA MARYAM KIDIKO – KIST.