Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi leo tarehe 13 April 2022.
RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN,AWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI
By Alex Sonna
April 14, 2022 | 5:30 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
54 minutes ago
WRRB, WAENDESHA GHALA WAKAA MEZANI KUELEKEA MSIMU WA KOROSHO 2026/27
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imefanya mazungumzo na Umoja wa Waendesha Ghala kujadili mazingira ya kiutendaji ya Mfumo wa Stakabadhi za…
Mchanganyiko
1 hour ago
WAHITIMU WAASWA KUEPUKA MAKUNDI YASIYOFAA WATAKIWA KUCHAGUA MARAFIKI.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya awali na msingi ya Miale, Obadia Mollel akizungumza kwenye mahafali hayo.jijini Arusha Wahitimu wa darasa la saba katika shule…


