Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango na Bajeti kwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Februari 2022 katika mwaka wa fedha 2021/2022, katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango na Bajeti kwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi februari 2022 katika mwaka wa fedha 2021/2022, katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma,
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Vita Kawawa akizungumza na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kushoto kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Kamati hiyo, Omari Magwiza.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia) akimsikiliza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Justus Kamugisha (kushoto) alipokuwa anamfafanulia jambo kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, wakati alipokuwa anaelekea katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma,
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Sudi Mwakibasi (kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Sera na Mipango, Amani Mashaka (katikati), kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango na Bajeti kwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Februari 2022 katika Mwaka wa Fedha 2021/2022, katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.