Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 23/08/2019.
Mshauri wa Rais Pemba Mhe.Bi Mauwa Abeid Daftari (kushoto) akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Shadiya Mohammed Suleiman(kulia) [Picha na Ikulu.] 23/08/2019.
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (katikati) akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akiwepo na Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Shadiya Mohammed Suleiman, [Picha na Ikulu.] 23/08/2019.