Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine  katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani,wakati akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu  kwa ziara ya Kikazi .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.|Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana   na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi  katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiagana   na wasaidizi wake  katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi akifuatana na Mkewe Mama Marium Mwinyi .[Picha na Ikulu