

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O’Nell wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ikulu] 08/11/2021. 
Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O’Nell wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake Balozi wa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
