Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed  kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka wakati wa hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 30 /10/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Salma Ali Hassan kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka wakati wa hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 30 /10/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe. Muumin  Khamis Kombo kuwa  Jaji   wa Mahkama Kuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 30 /10/2021.

Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar wakifuatilia hafla ya  kuapishwa Mhe.Muumin  Khamis Kombo  kuwa Jaji   wa Mahkama Kuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 30 /10/2021.