Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe akizindua taarifa ya hali ya uwajibikaji kifedha nchini ulioandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) tukio lililofanyika leo katika Hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Oktoba 29, 2021, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU), Bw. Ludovick Utouh
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akionyesha kitabu chenye taarifa ya hali ya uwajibikaji kifedha nchini baada ya uzinduzi ulioandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) tukio lililofanyika leo katika Hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Oktoba 29, 2021, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU), Bw. Ludovick Utouh
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)