Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu EGH wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu EGH wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi  zawadi ya mlango mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu EGH baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Picha ya Kuchora inayoonyesha Uchumi wa Buluu kupitia Uvuvi  kutoka wa mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu EGH  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu EGH baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo  .[Picha na Ikulu