Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Joseph Kuzilwa, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo.
Afisa miradi ya jamii wa Vodacom Tanzania Foundation, Deborah Kaluzi (kulia) akikabidhi moja ya madawati yaliyotolewa kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi ya…