RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza kwa njia ya mtandao na Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Prof.Abdurazak.Salum Gurnah. akizungumza akiwa Ofisini kwake Ikulu Zanzibar na kumpongeza kwa ushindi wa Tuzo hiyo.(Picha na Ikulu)