Msimamizi wa Maduka ya Vodacom kanda ya Ziwa Maryglory Mtika(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 Vincent Gratus ambaye ni mshindi wa promosheni ya Tusua Mapene kwa mwezi wa Nane, mkazi wa Kabuholo jijini Mwanza Vincent Haule, kwenye hafla iliyofanyika jijini humo jana.
VODACOM TANZANIA PLC YATOA ZAWADI KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA TUSUA MAPENE KWA MWEZI WA NANE
By joseph
September 27, 2021 | 12:47 pm
Related Stories
View all
Mchanganyiko
6 minutes ago
KATIBU: BUNGE LA TANZANIA LIPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA MABUNGE MENGINE
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Ndugu Baraka Leonard, amesema Bunge la Tanzani lipo tayari kujifunza na kushirikishana uzoefu kutoka mabunge mengine…
Mchanganyiko
25 minutes ago
MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KIBAHA ACHARUKA ATOA SIKU SABA KIWANDA CHA CORDY KUBORESHA MIFUMO YA MAJI TAKA
Na Victor Masangu,Kibaha MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Dkt Mawazo Nicas ametoa muda wa siku saba kwa kiwanda cha kuchakata plastiki…

