Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza  na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 22,2021. PICHA NA IKULU.