Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika kilele cha Maadhimisho ya Ufungaji wa Sikukuu ya Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost 08,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Shamba la Miwa Kilombero Mohamed Salum wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika kilele cha Maadhimisho ya Ufungaji wa Sikukuu ya Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost 08,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kombe Mshindi wa Ushiriki Bora katika Maadhimishi ya sikukuu ya wakulima Nanenane kwa Mwaka 2019 Kanali Aisha Matanzi wa JKT wakati wa Maadhimisho ya Ufungaji wa Sikukuu ya Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost 08,2019.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)