Spika wa Bunge, Job Ndugai akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo alipowasili kwa ajili ya kuzindua kongamano la siku mbili lenye ajenda ya mtoto njiti 2021 katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) akizindua kwa kukata utepe kongamano la siku mbili lenye ajenda ya mtoto njiti 2021 katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021, kuanzia kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel, Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu.
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakishiriki kongamano la siku mbili lenye ajenda ya mtoto njiti 2021 katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka wakati alipowasili kwa ajili ya kuzindua kongamano la siku mbili lenye ajenda ya mtoto njiti 2021 katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Wabunge vinara wa kupambana na mtoto njiti pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo wakati wa kongamano la siku mbili lenye ajenda ya mtoto njiti 2021 katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wabunge vinara wa kupambana na mtoto njiti katika kongamano la siku mbili lenye ajenda ya mtoto njiti 2021 katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021, kuanzia kushoto waliokaa ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel, Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)