RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw. Alphayo J.Kidata, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw. Alphayo J.Kidata,(kulia kwa Rais) pamoja na Ujumbe wake baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)