Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisikiliza kero mbalimbali za wananchi wa eneo la Chiungutwa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.walisimama barabarani kutaka kueleza kero hizo.Julai 25,2021.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akiwasili katika eneo la kiwanda cha kubangua Korosho kinachomilikiwa na mwekezaji mzawa wa kampuni ya Prosperity Agro Industries kwa lengo la kuzindua kiwanda hicho. Newala ,Mtwara Julai 25,2021

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akipokea maelezo kutoka kwa Haroun Maarifa  ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa  kiwanda cha kubangua Korosho cha kampuni ya Prosperity Agro Industries kilichopo wilayani Newala mkoani Mtwara Julai 25,2021.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kiwanda cha kubangua Korosho kinachomilikiwa na mwekezaji mzawa wa kampuni ya Prosperity Agro Industries  kilichopo Wilaya ya Newala mkoani Mtwara. Julai 25,2021.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizindua kiwanda cha kubangua Korosho cha kampuni ya Prosperity Agro Industries  kilichopo wilayani Newala mkoani Mtwara. Julai 25,2021