

Naibu Katibu Mkuu Fedha na Mipango Aboud Hassan Mwinyi (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Serekali Mtandao Said Seif Said wakifuatilia uwasilishwaji wa muhtasari wa mfumo wa ZanMalipo uliofanyika Ukumbi wa Mikutano Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar. 
Mwanasheria mwandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Hussein Migoda akijaribu kufanya malipo ya Serikali kwa kutumia mfumo wa ZanMalipo katika hafla ya Uwasilishwaji wa mfumo huo iliyofanyia Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo Vuga Mjni Zanzibar. 
