Ndani ya simu moja processor Helio G95, GB8RAM na GB128ROM hii imeandikwa na tovuti ya Gadgetstovuti maarufu kama ilivyo GSM ARENA ambayo kazi yake kuu ni kudadavua matoleo mbalimbali ya simu yanayotarajiwa kuingiasokoni.https://www.gadgetsnow.com/mobile-phones/Infinix-Note-10-5G
Tovuti ya Gadget imeandika kampuni ya simu Infinix kuja na muendelezo wa toleo la NOTE- Infinix NOTE 10 na sifa kuu ya simu hiyo ni namna itakavyoweza kuendesha na kuhifadhi file au application kama vile Games, Microsoft office na nyengine mbalimbali pasipo kutetereka na wala simu kupata moto wakati wa uendeshaji.
Lakini pia kupitia tovuti ya GSM ARENA kumekuwa na hoja zenye itifaki kutoka kwa watumiaji wa simu za mkononi wakiisifu kampuni ya simu Infinix kwa mabadiliko makubwa kwa kila toleo jipya hasa hili na NOTE 10.
Inaaminika Infinix NOTE 10 huenda ikawa ni simu ya kwanza kwa kampuni ya simu Infinix kuja na vigezo vya kuifanya NOTE 10kuwa na matumizi zaidi na ya simu. Processor ya G95 na Memory ya GB128vinapa Infinix NOTE 10 wepesi, kasi na uwezo wa kufanya kazi zote za kiofisi kamakuandaa na kufanya presentation, kuhifadhi video na kumbukumbu mbalimbali kama kompyuta.
Tafadhali tembelea www.infinixmobility.com kujieka karibu na ujio wa Infinix NOTE 10.