Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka katika taasisi hiyo kuelekea kwenye maandamano ya kuadhimisha ya siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru leo Jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika lango kuu la kuingia katika Uwanja wa Uhuru wakati wa maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja Uhuru leo Jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiandamana kuingia katika Uwanja wa Uhuru wakati wa maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja Uhuru leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru leo Jijini Dar es Salaam
Picha na: – JKCI