Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) na Mbunge wa Mikumi, Denis Londo (katikati) Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15,2021.
Waziri MKuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni jijii Dodoma, Aprili 15, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Madini, Dotto Biteko, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saashisha Elinikyo Mafuwe, wakati akitoka ndani ya Bunge jijini Dodoma, Aprili 15, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 15, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)