Wakazi wa Dodoma walifika mapema Uwanja wa Ndege wa Dodoma kumpokea Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 21, 2021.