RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari Tanzania Dr.Faustine Ndugulile, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Zainab Chaula.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari Tanzania Dr. Faustine Ndugulile baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Zainab Chaula.(Picha na Ikulu)