Meneja wa Akiba Commercial Bank PLC (ACB), Tawi la Kijitonyama, Joachim Mowo (kulia), akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya futa vicoba endelevu ambae pia ni mteja wa Benki hiyo Hanipha Tarimo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo benki hiyo iliandaa hafla fupi kwa ajili ya kuwashukuru wateja wake. Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za benki ya ACB Tawi la Kijitonyama. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo, Dora Saria.
AKIBA COMMERCIAL BANK YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
By joseph
March 9, 2021 | 1:50 pm

Related Stories
View all
Biashara
15 hours ago
TIRA: WATUMIAJI WA BIMA WAFIKIA MILIONI 26.8
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imesema watumiaji wa bidhaa na huduma za bima nchini wameongezeka kutoka…
Biashara
1 day ago
NMB YATOA SOMO LA KUJENGA MITAJI, YAHIMIZA AKIBA YENYE MALENGO
DODOMA. Benki ya NMB imewataka Watanzania kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa malengo na kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji ili kuimarisha ustawi wao wa…



