Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipowasili katika kiwanda cha Morogoro Canvas kinachomilikiwa na benki hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiangalia sehemu ya Mitambo/Mashine za kutengeneza Sare za mavazi ya taasisi mbalimbali, Mashuka na bidhaa ya Maturubai ambazo zilikuwa zikizalishwa kiwandani hapo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akihutubia Viongozi wa Mkoa wa Morogoro pamoja na Watumishi wa Benki ya CRDB wakati wa ziara ya kikazi aliyofanya kwenye Kiwanda hicho cha Morogoro Canvas Ltd, Mkoani Morogoro.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiangalia moja wapo ya shuka ambazo zilikuwa zikizalishwa katika kiwanda hicho cha Morogoro Canvas Ltd.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa ameambatana na Viongozi wa Mkoa wa Morogoro pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho cha Morogoro Canvas kilichopo Mkoani Morogoro. Kulia ni Mtaalamu elekezi wa Kiwanda hicho Ndg. Dismas Machopa akitoa maelezo.
Sehemu ya Watumishi wa Benki ya CRDB wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea kiwanda hicho cha Morogoro Canvas Ltd, Mkoani Morogoro.
Katibu wa Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA) Bw. Meshark Bandawe akieleza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipotembelea kiwanda hicho.
Sehemu ya Viongozi wa Mkoa wa Morogoro waliambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kutembelea kiwanda hicho cha Morogoro Canvas Ltd. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) juu ya mikakati ya kuendeleza kiwanda hicho.
PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)