Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Ruangwa kwenye ukumbi wa Ghala la Mazao la Lipande, Februari 23, 2021.
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ghala la Mazao la Lipande, Ruangwa, Februari 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)