RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa (kulia ) mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo,21-1-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe. Joseph Butiku (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo 21-1-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe. Joseph Butiku (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)