Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga, kushoto akitoa maelezo ya kazi za Makumbusho ya Taifa kwa Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC alipotembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
Afisa Elimu Mwandamizi, Bibi Anamery Bagenyi akimwonesha Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC Dkt Stergomena Tax pikipiki aliyoitumia Hayati Samora Machel wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Msumbiji ambayo ni sehemu ya onesho la mchango wa Tanzania katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipotembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC Dkt. Stergomena Tax akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es SalaamAfisa Elimu Mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Anamery Bagenyi akitoa maelezo juu ya mchango wa Tanzania katika ukombozi wa Bara la Afrika kwa Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC, Dkt Stergomena Tax alipotembelea wa onesho la Mchango wa Tanzania harakati za ukombozi wa Bara la Afrika. Kushoto kwake ni Mhifadhi Mkuu Mambo ya Kale Revocatua Bugumba na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga