Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (hawapo pichani) leo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Bakari akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Ndejembi aliyoifanya leo katika Mamlaka hiyo Jijini Dodoma kwa lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Bakari akimwonyesha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi kitabu chenye taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka yake wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Ndejembi aliyoifanya leo katika Mamlaka hiyo Jijini Dodoma kwa lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akifuatilia historia ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) iliyokuwa ikiwasilishwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Jabiri Bakari wakati wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wakati wa ziara yake ya kikazi leo Jijini Dodoma yenye lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.