MchanganyikoMHE. IKUPA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MTOTO WENYE ULEMAVU Last updated: 2019/05/18 at 6:59 PM Alex Sonna 6 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akieleza jambo kuhusu umuhimu wa kuwajali Watu wenye Ulemavu wakati alipokuwa akitoa msaada wa baiskeli kwa mtoto Happy Shabani Salumu wenye Ulemavu, Jijini Dodoma Mei 15, 2019.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akizungumza na mzazi wa mtoto huyo Bi. Magreth Leo alipokuwa akitoa msaada wa baiskeli.Bi. Magreth Leo (katikati) akimwelezea jambo Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (kushoto) kuhusu mtoto wake Happy Shabani Salumu wenye Ulemavu. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu Bi. Josephine Lyengi.Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu Bi. Josephine Lyengi akizungumza na mzazi wa Mtoto huyo Bi. Magreth Leo.Baadhi ya Maafisa wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu wakifuatilia maelezo ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (hayupo pichani) alipokuwa akitoa msaada wa baiskeli kwa mtoto Happy Shabani Salumu. Kushoto ni Afisa Ustawi wa Jamii Bi. Joy Maongezi na Bi. Oliver Njogopa (katikati).Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akimkabidhi baiskeli mtoto Happy Shabani Salumu, ambaye ni mlemavu wa viungo itakayo msaidia kwenda shuleni na kumwezesha kufanya shughuli nyingine kwa urahisi. Kulia ni Mzazi wa mtoto huyo Bi. Magreth Leo.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akifurahi pamoja na mzazi wa mtoto huyo Bi. Magreth Leo alipomkabidhi fedha kwa ajili ya matibabu ya mtoto Happy Shabani Salumu wenye Ulemavu.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akiwa na mtoto mwenye Ulemavu Happy Shabani Salumu mara baada ya kukabidi msaada wa baiskeli kwa mtoto huyo Mei 15, 2019 Jijini Dodoma.PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU) Alex Sonna May 18, 2019 May 15, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article Muhimbili Yatakiwa kuimarisha Utafiti na Uvumbuzi Next Article PLAN INTERNATIONAL WAANDAA MKAKATI WA KUDHIBITI NDOA ZA UTOTONI