Makamu Mwenyekiti CCM Bara Komred Stephen Wasira ameanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma ambayo inatarajia kukamilika Juni 12 mwaka huu. Katika uwanja wa ndege wa Songea Wasira amepokewa na viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA AANZA ZIARA YA KIKAZI RUVUMA
By Alex Sonna
June 9, 2025 | 9:15 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
41 minutes ago
TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI
Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika sekta ya afya, hususan katika uzalishaji wa dawa na bidhaa za afya, uhamishaji wa teknolojia na uwekezaji, hatua…
Mchanganyiko
50 minutes ago
MHE. HOMERA AKUTANA NA TAASISI ZA MAFUTA, ATOA MAELEKEZO KUIMARISHA SEKTA
Dar es Salaam, Oktoba 5, 2026. Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa taasisi zilizo chini…