Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande (kulia) Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dennis Londo na Mbunge wa Buchosa Erick Shingongo, Bungeni Jijini Dodoma Januari 28, 2025.
Na Oscar Mbuza, Morogoro WIZARA ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio mbalimbali iliyoyapata kutokana na kuenzi kwa vitendo maono ya Rais wa Kwanza wa…
Mkurugenzi Mtendaji wa Devan Communication Consultancy na Mwandaaji wa Tamasha la Wadau wa Chakula Tanzania, Salima Mseta akizungumza kwenye Tamasha la Mashefu Tanzania lililofanyika…