Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma Kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja Lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Mkurugenzi Mkuu wa ZAWA Dk,Salha Mohamed Kasim akitoa Taarifa ya Kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Nishati na Madini Joseph Kilangi akitoa Taarifa ya Wizara katika hafla ya Ufunguzi wa Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Rashid Hadidi Rashid  akitoa Salamu za Mkoa katika hafla ya Ufunguzi wa Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Naibu Waziri wa Maji  Nishati na Madini Shabani Ali Othman akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa  Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma akimpa Mkono Mkandarasi wa ujenzi wa Tangi la Maji  Nurdin Hassun ikiwa ni Ishara ya Kumpongeza katika hafla ya Ufunguzi wa  Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi mbalimbali katika hafla ya Ufunguzi wa  Tangi la Maji litakaloweza kuhifadhi lita Milioni Moja  Bumbwini Kidazini Kaskazini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR