Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi leo tarehe 31 Mei 2023. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika nchini Burundi.
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI BURUNDI KUSHIRIKI MKUTANO WA EAC
By Alex Sonna
May 31, 2023 | 6:35 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
1 hour ago
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA BARAZA LA MAWAZIRI IORA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 25 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi zilizopo Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian…
Mchanganyiko
1 hour ago
NABII SUGUYE ACHANGIA VIFAA ,VYAKULA KATIKA VITUO VIWILI VYA WATOTO YATIMA TANGA
Na Oscar Assenga, Tanga KIONGOZI na mwanzilishi wa huduma ya kiroho ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) Nabii Mkuu Nicolaus Suguye, amefika jijini…



