
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Â anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Saleh Ahmed Al-Hemeiry, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-5-2023.(Picha na Ikulu)
